MSHINDI MWINGINE

WASHINDI WENGINE WAWILI WASHINDA ZAWADI ZA SBL, MMOJA ACHOMOKA NA GENERETA , MWINGINE PIKIPIKI


Meneja wa bia ya Serengeti Bw. Allan Chonjo akitangaza majina ya washindi wa promosheni ya Vumbua Dhahabu chini ya Kizibo inayoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti SBL katika makao makuu ya kampuni hiyo Oysterbay, kulia ni Tumainieli Malisa kutoka PWC na kushoto ni Abukary kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha.


Meneja wa bia ya Serengeti Bw. Allan Chonjo akiongea na mshindi wa pikipikiwakati alipompigia simu kumtaarifi juu ya ushindi wake, kulia ni Joyce Mwijage kutoka kampuni ya bia ya Serengeti, kushoto ni Tumainieli Malisa kutoka PWC na nyuma aliyesimama ni Abubakary kutoka Bodi ya michezo ya kubahatisha

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA