KONGAMANO LA WANA TAALUMA

 Mwanataalum mkonge Profesa Goran Hyden akijibu hojana maswali mbalimbali yalitolewa na wahadhiri na wanataalum mbalimbali kutokandani na nje ya Tanzania jana mjini Dar es salaam wakati wa kongamano la sikumoja la wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam lakutambua mchango wake kitaalum.
 Waziri Mkuu Mstaafu wa Uganda Profesa Apolo Nsibambi(kulia)akichangia mada jana mjini Dar es saam wakati wa kongamano la siku moja lawanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam la kutambuamchango wa Profesa  Goran Hyden alioutoandani na nje Tanzania. Wengine ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti yaUtumishi wa Umma George Yambesi(katikati) na Profesa Goran Hyden(kushoto)
 Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es  salaam Profesa Rwekaza Mukanda (kulia) akibadilishanamawazo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uganda Profesa Apolo Nsibambi (katikati) na Balozi wa Zambia nchini Judith Kangoma( kushoto) jana mjini Dar es salaam wakatiwa kongamano la siku moja la wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam la kutambua mchango wa Profesa  Goran Hyden alioutoa ndani na nje Tanzania

 Mmoja wa watoa mada akiendelea
Mwapachu- Katibu Mkuu zamani wa Jumuiya ya AfrikaMashariki Balozi Juma Mwapachu akichangia mada jana mjini Dar es saam wakati wakongamano la siku moja la wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dares salaam la kutambua mchango wa Profesa  Goran Hyden alioutoa ndani na nje Tanzania.Kuliani Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es  salaam Profesa Rwekaza Mukanda.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA