Posts

Showing posts from June 20, 2012
Image
Leo ni siku ya wakimbizi duniani. Tanzania inaungana na Mataifa mengine duniani katika kuadhimisha siku hii. Tangu kupata Uhuru Tanzania imekuwa Taifa lililo mstari wa mbele katika kusaidia wakimbizi kutoka katika Nchi mbalimbali hasa zile ilizopakana nazo. Tanzania ni nchi ambayo imezungukwa na kupakana na Nchi zenye machafuko, aidha ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kama ilivyokuwa kwa Burundi na Rwanda, pia imepakana na nchi zenye makundi ya waasi wanaopinga serikali zao na kusababisha machafuko kama vile Uganda, Somalia, Sudan na Kongo, lakini pia imepakana na nchi zenye machafuko ya kisiasa kama vile Kenya na Zimbabwe. Siku za hapo nyuma kidogo, kutokana na Athari mbalimbali zilizotokana na Idadi kubwa ya wakimbizi hapa nchini ambao ilikadiriwa kufikia 1,000,000 Serikali ililazimika kubadili sera ya wakimbizi ambayo ilitoa fursa ya kila familia kupatiwa hekta mbili na nusu za ardhi na kuanzisha makazi na badala yake kuwatengea maeneo maalum ya makambi, pamoja na ...

JK AKUTANA NA VIONGOZI WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NA SHIRIKA LA NYUMBA LEO DODOMA

Image
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano na viongozi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii na Shirika la Nyumba la taifa ikulu mjini Dodoma leo.Katika kikao hicho Mheshimiwa Rais aliwapa changamoto viongozi hao   kuunganisha nguvu na kubuni mikakati itakayowezesha kuwapatia watumishi wa umma nyumba za kuishi. PICHA NA FREDDY MARO Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akiongea na mkurugenzi mkuu wa PPF Bwana William Eriyo mjini Dodoma leo baada ya kikao maalumu na viongozi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na shirika la Nyumba . Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na shirika la Nyumba la Taifa mara baada ya kikao maalumu kilichofanyika ikulu mjini Dodoma leo. viongozi Wengine waandamizi w aliohudhuria kikao hicho Naibu Waziri wa Ardhi Goodluck ole Medeye(watatu kushoto),Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Wanne kushoto),Gavana wa Benki Kuu Professa Beno Ndulu(kulia) na naibu katibu Mk...

MKUU WA WILAYA YA KATAVI ATAKA USHIRIKIANO

Image
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Paza Tusamale Mwamlima amewataka watendaji wa serikali katika halmashauri ya Mji na  wilaya ya Mpanda katika wilaya anayoongoza kumpatia ushirikiano wa karibu katika utendaji kazi katika utumishi wa umma ili kuwaletea wananchi maendeleo ambayo ndiyo wanayoyatengemea na kuachana mamalamiko kama watendaji wao.               Changamoto hiyo ameitoa leo wakati akiongea na watendaji wa halmashauri hizo alizitembelea ofisi ni kujitambulisha na kufahamiana tangu kuteuliwa na Mh.Rais Jakaya Kikwete kuwa mkuu wa wilaya hiyo kufuatia aliyekuwa mkuu wa wilaya hiyoDr Rajabu Rutengwe  kuteuliwa kuwa  Mkuu wa Mkoa Mpya wa Katavi. Mkuu huyo wa wilaya almesema hakuna mtu yeyote anayefanikiwa bila kuwa na ushirikiano wa karibu bila ushirikiano hakuna mafanikio,hivyo anaomba ushirikiano wa karibu kwa watendaji na wananchi kwa ujumla. Katika kikao hivyo mkuu huyo wa wilaya ame...

TANGAZO

 ATTENTION PEOPLE!!!!!! Master Mgaya Company. Master Mgaya Company. My name is Frank Vincent Mgaya student of MUHAS taking Medical Laboratory Science apart from being a student am doing all services listed below. List of services Printing Services Designing Posts T-Shirt Designing Certificates Muhimbili University Of Health Allied Sciences –Upanga, DSM MTC—Hostel   SUTURDAY : 8:00AM-5:00PM SUNDAY : 1: 00PM– 5: 00PM +255 714 663 684 Phone: +255 714 663 684 Master Mgaya Company.

MUHAS STUDENT AT APOPO PROJECT MOROGORO

Image
rat used in detection technology staff showing demonstration rat in the cage with the instructor  Jessica  APOPO  project trains rat so as they can be used in tuberculosis detection. this project works in Tanzania , Mozambique and Thailand

TEMEKE NA MBEYA NI MABINGWA

Image
Nahodha wa timu ya wasichana ya mkoa wa  Mbeya Mariam Ndauka, akinyanyua juu kombe baada ya kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Stars kwa wanawake baada ya kuifunga Arusha 1-0 kwenye fainali za Airtel Rising Stars zilizofanyika Jumapili kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Time ya Temeke ikifurahia ushindi mara baada ya kuibuka kuwa washindi wa michuano ya Airtel Rising Stars kwa kutwaa ushindi wa mabao 3-1 thidi ya timu ya Mbeya. Wachezaji nyota 6 wa michuano ya Airtel Rising stars wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuchaguliwa jana katika michuano ya Finali iliyofanyika katika viwanja vya Karume jijini Dar es Salaam. Meneja Matangazo wa Airtel Rahma Mwapachu akimkabidhi kombe Nahodha wa timu ya wasichana ya mkoa wa  Mbeya Mariam Ndauka. Nahodha wa timu ya wavulana ya Temeke Khalid Salum, akipokea kikombe kutoka kwa Naibu Mkurugenzi wa Michezo kutoka wizara ya Habari, Vijana, Utamanduni na Michez,o ...

TTB WAFAGILIWA KWA KAZI NZURI

Image
    Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bibi Maimuna Tarish (Kushoto) akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania –TTB alipokuwa akifungua kikao cha baraza hilo kilichofanyika katika ukumbi wa chuo cha Utalii jijini Dar es salaam hivi karibuni. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Dk. Aloyce Nzuki, na kulia ni Katibu wa Baraza hilo Bw Elirehema Maturo. ************   Na: Geofrey Tengeneza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imepongezwa kwa kazi nzuri inayofanya katika utekelezaji wa majukumu yake ikiwa ni pamoja na jukumu kubwa la kuitangaza Tanzania kama eneo bora lenye vivutio vingi vya kitalii duniani pamoja na ushindani mkubwa kutoka nchi nyingine na hivyo kufanya idadi ya watalii wanotembelea nchi yetu kuendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka sambamba na kuongezeka kwa pato la Taifa litokanalo na sekta ya utalii.   Akifungua kika...

TAIFA STARS YALEJEA NYUMBANI

Image
  Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam jana usiku wakitokea nchini Msumbuji waliposhiriki katika Mchezo wa  mtoano wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika CAF. Taifa Stars ilitolewa katika michuano hiyo kw kufungwa kwa mikwaju ya penati na Msumbiji 8-7. Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa ndani ya basi mara baada ya Kuwasili katika Uwanja  wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam jana usiku wakitokea nchini Msumbuji waliposhiriki katika Mchezo wa  mtoano wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika CAF. Taifa Stars ilitolewa katika michuano hiyo kw kufungwa kwa mikwaju ya penati na Msumbiji 8-7.      Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Kim Polsen akizungumza na Sunday Kayuni mara baada ya kuiwasili uwanjani hapo.

DSTV REWARDS IT'S LOYAL SUSCRIBERS

Image
DStv is rewarding its subscribers for staying connected for 3 months or more. DStv Rewards is a monthly competition which launched last December and offers a wide selection of great prizes including Laptops, Ipads, HD PVR to mention but a few. MultiChoice Africa CEO, Nico Meyer had this say: “MultiChoice takes a keen interest in its subscribers who always remain at the core of our business. Creating meaningful value for our DStv subscribers is always a priority – that’s why MultiChoice has created a new loyalty incentive programme to reward subscribers for staying connected to DStv for 3,6,12, 24 and 36 months. Subscribers who pay upfront for one year also gain a free one month’s subscription”. At the heart of MultiChoice’s rewards programme is a firm commitment to continuously provide innovative and unique home television services which are innovative and exciting and keep African viewers at the cutting edge of pay television.  To do this there is the co...

JUMLA YA BILIONI 148 HUPOTEA NDANI YA BARA LA AFRIKA

Image
Ashura Mohamed wa Fullshangwe-ARUSHA JUMLA ya  kiasi cha dola za Kimarekani Bilion 148   huwa zinapotea ndani ya Nchi za bara la Afrika kila mwaka kutokana na kuwepo kwa mianya mingi ya rushwa  na badala yake fedha hizo zinapelekwa katika nchi za Ugaibuni hali ambayo inasababisha madhara makubwa sana kwa nchi ya A frika Hayo yameelezwa na mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU)Dkt Edward hosea wakati akizungumza katika mkutano wa bodi ya ushauri wa masuala ya Rushwa kwa nchi za bara la Afrika jijini hapa Aidha dkt Hosea alisema kuwa kiwango hicho cha fedha hupotea kutokana na baadhi ya mianya ya Rushwa ambayo imo kwenye nchi hizo na badala yake fedha hizo zinapelekwa kwenye nchi za Ugaibuni Alifafanua kuwa kutokana na hali hiyo ya upotevu wa fedha hizo unachangia kwa kiwango kikubwa sana hata kukithiri kwa rushwa ndani ya Nchi hizo hali ambayo nayo inachangia hata maendeleo duni ya nchi hizo za bar...

Mwanamuziki Machachari Diamond Platinumz Avuta Mchuma wa NGUVU

Image
Picha juu ni Taswira mbalimbali za mwanamuziki machachari nchini Diamond Platinumz akiwa mbele ya gari yake mpya aina ya Land Cruiser Prado VX.Picha Zote na Diamond Platinumz

MTOTO WA MBUNGE WA TEMEKE(CCM) SITTI MTEMVU AMSAIDIA SH. 500,000 MSICHANA HAPPINESS KAAYA MLEMAVU ANAYEISHI NDANI KWA MIAKA 22

Image
   Mamake Sitti, Mariam Mtemvu, ambaye ni mke wa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu ampa pole Happiness.    Sitti ambaye ni mtoto wa kwanza wa Mbunge wa Jimbo la Temeke, akimbusu Happiness baada ya kutoa msaada huo. Sitti pia ni  mmoja wa wakurugenzi wa Mtemvu Foundation   MWANAFUNZI wa Chuo Kukuu cha North Texas cha Marekani, Sitti Mtemvu (kushoto), akitoa msaada wa sh. 500,000 kwa msichana Happines Kaaya (22), aliyezaliwa akiwa mlemavu, katika hafla iliyofanyika Machimbo, Temeke, Dar es Salaam juzi.   Sitti akitoa msaada mwingine wa sh. 200,000 kwa mtu mwenye ulemavu, Nassoro Tayari mkazi wa Buza jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kununulia vipuri vya kutengenezea baiskeli yake.   Mmoja wa wapangaji wa nyumba anayoishi Happiness na mamake Khadija Msuya akielezea jinsi wanavyomsaidia msichana huyo mlemavu ---   Na Richard Mwaikenda MWANAFUNZI wa Chuo Kukuu cha North Texas, Marekani, Sitti Mt...

AZAM YAFANYA KWELI HATIMAYE WATU KWENDA ZANZIBAR KWA MAGARI YAO KUPITIA MELI YAO MPYA NA YA KISASA KABISA

Image
  Meli hiyo inavyoonekana kwa Nje   Meli hiyo inavyoonekana kwa ndani . Meli hiyo inavyoonekana kwa Ujumla ---- . Azam yaamua kufanya kweli na hivi karibuni meli ya kisasa iko mbioni  kuzinduliwa ambayo ikawezesha watu kwenda na magari yao Zanzibar. Meli hiyo inauwezo kubeba magari 200, abiria 1500 na Mizigo tani 500. KAMPUNI ya Usafiri wa baharini ya Azam Marine inatarajia kuzindua meli kubwa ya kisasa kwaajili ya abiria waendao Dar es Salaam, Pemba na Unguja. Meneja Mkuu wa kampuni hiyo Hussein Mohamed Said, amesema Julai 15 mwaka huu meli hiyo yenye urefu wa mita 100 itazinduliwa.    Mohamedi alisema shida ya usafiri itapungua kwa asilimia kubwa kutokana na meli hiyo kuwa na uwezo wa kubeba abiria 1500, Mizigo tani 500 na magari 200 ambapo abiria atakae jisikia kwenda na gari lake Zanzibar, Pemba au Dar es Salaam ataweza kufanya hivyo. Waziri Mwenye dhamana ya Mawasiliano na Miundombinu wa Serikali ...
Image
Emirates, the world’s fastest growing airline, and Dubai Tourism & Commerce Marketing (DTCM) have launched a summer campaign dubbed ‘Do More in Dubai’ which runs until 30th September and coincides with Dubai Summer sales. Under the offer, up to two children under age 12, traveling with an accompanying adult in economy class, are eligible to receive complimentary accommodation (minimum three night stay), meals in participating hotels, plus airfare discounted 50% off the adult fare. The promotion will allow travellers of any age to create unique experiences across Dubai – from beach to malls, from the desert to the pinnacle of the world’s tallest building. “Dubai has developed into a destination for all seasons and Emirates has chosen its partners, DTCM, Dubai Mall and the many participating hotels, to showcase the best the city has to offer. Emirates knows that finding a holiday destination to meet the needs of a diverse group, be it families with children or...

OMBI

tembeleeni website ya   http://zittokabwe.wordpress.com   mpate kusoma bajeti ya kambi ya upinzani ya chama cha chadema.

JK AKIWAAPISHA WAJUMBE WAPYA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI

Image
Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bw. Cornel Kananila Mtaki akila kiapo. Kamishna Mary Cresent Massay akila kiapo. Kamishna Salma Abdi Chande akila kiapo. Kamishna Evod Paul Mushi akila kiapo. Kamishna Sauli Herbert Kinemela akila Kiapo.   Kamishna Yahya Kitambazi Msigwa akila kiapo. Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Makamishna wapya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi baada ya kuwaapisha.