BENKI YA NBC WATOA ZAWADI ZA X-MAS NA MWAKA MPYA
by David Mathias on December 26, 2012 Baadhi wa watoto wanaolelewa katika kituo cha CHAKUWAMA, Sinza jijini Dar es Salaam wakionyesha baadhi ya vitu walivyopewa kama msaada na wafanyakazi wa Benki ya NBC kituoni hapo juzi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za Sikukuu za Christmas na mwaka mpya. . Meneja Mwandamizi Idara ya Utendaji wa Benki ya NBC, Salim Rupia (kulia) akikabidhi msaada vyakula na vitu vingine vilivyotolewa na wafanyakazi wa benki hiyo kwa Katibu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA, ndugu Ally Saidi kituoni hapo, Sinza, Dar es Salaam juzi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za Sikukuu za Christmas na mwaka mpya. ...