Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kushoto) akijumuika na Viongozi na wananchi wa Mkoa wa kaskazini Pemba katika chakula cha Futari aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu ya Wete pemba jana.{Pichana Ramadhan Othman,Ikulu.} Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba,Dadi Faki Dadi,akitoa shukurani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ALhaj Dk.Ali Mohamed Shein,kwa niaba ya wananchi wa Mkoa wake baada ya chakula cha Futari alkiyowaandalia katika viwanja vya Ikulu ya Wete pemba jana. {Pichana Ramadhan Othman,Ikulu.} Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto) pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,baada ya chakula cha Futari,huko Ikulu ya WEte Pemba jana. {Pichana Ramadhan Othman,Ikulu.} Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Moh...