Posts

Showing posts from December 6, 2012

WANAHABARI AFRIKA MASHARIKI WANOLEWA JUU YA WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA SOKO LA PAMOJA

Image
Mwezeshaji wa mafunzo ya siku tatu kwa waandishi wa Habari juu ya Wajibu wa Vyombo vya Habari katika utekelezaji wa Soko la Pamoja la Jumuia ya Afrika ya Mashariki (EAC), Balozi Jeremy Ndayiziga, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mafunzo hayo yaliyoliyoanza leo Jijini Dar es Salaam na kushirikisha waandishi kutoka nchi Wanachama wa EAC. Kulia ni Mtaalam wa Masuala ya Habari kutoka EAC, Sukhdev Chhatbar, ambaye pia ni mratibu wa mafunzo hayo. Balozi Ndayiziga ni Mtaalam katika Masuala ya Mtengamano wa EAC.  Washiriki wakichangia mada katika mafunzo hayo ambayo yameandaliwa kwa pamoja kati ya EAC na Shirika la Kijerumani la GIZ.  Washiriki wakifuatilia mada na michango ya washiriki wengine kwa umakini.  Mwandishi Mkongwe, Zephania Ubwani kutoka Mwananchi Communication Ltd, Arusha akichangia mada. Kulia ni Salma Saidi pia wa Mwananchi na DW Zanzibar.  Picha ya pamoja ya washiriki wote na wawezeshaji. Mtaalam wa Masuala ya Habar...

PRESIDENT KIKWETE HOSTS DINNER FOR GAVI FORUM MEETING MEMBERS AT STATE HOUSE

Image
President Jakaya Mrisho Kikwete greets Former First Lady of South Africa Mama Graca Machel as the First Lady of Zambia Mama Satta looks on during a dinner he hosted for members of the 5th Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) Partners Forum at the State House in Dar es salaam. Others in the picture are Mr. Dagfinn Hoybraten, Chairman of the GAVI Board and Dr. Seth Berkley, CEO of GAVI. President Jakaya Mrisho Kikwete chats to Former First Lady of South Africa Mama Graca Machel as the First Ladies of Tanzan ia and of Zambia, Mama Salma Kikwete and  Mama Satta looks on during a dinner he hosted for members of the 5th Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) Partners Forum at the State House in Dar es salaam. Others in the picture are Mr. Dagfinn Hoybraten, Chairman of the GAVI Board and Dr. Seth Berkley, CEO of GAVI. President Jakaya Mrisho Kikwete receives a new CD from South Africa song bird and UNICEF’s Goodwil...

MUNGU IBARIKI KILIMANJARO STARS

Image
Timu ya Taifa Tanzania bara inafahamika kama Kilimanjaro stars inashuka dimbani usiku huu kikosi hiko kikiongozwa na number one Goalkeeper Juma Kaseja wa klabu ya simba ya mitaa ya kariakoo jijini Dar es salaam,Tanzania. Kikosi hiko kinavaana na kikosi cha Uganda the cranes kikiongozwa na mshambuliaji machachari wa klabu ya simba Emmanuel Okwi.