Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi katoni ya chumvi Mtoto mwenye ulemavu wa kutokuona Husna Rajabu, kwa niaba ya watoto wenzake ambao ni walemavu wasiona na wanaoona wa shule ya Nyangao iliyopo Lindi Vijijini Mkoani Lindi,wakati wa hafla fupi ya kufuturisha na kutoa misaada mbalimbali inayoendeshwa na Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Ramadhan Care & Share wakati huu wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,alieshikilia mbuzi kushoto ni Meneja wa Vodacom Foundation Bi.Grace Lyon. Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi ndoo ya mafuta ya kula John Swai kwa niaba ya watoto wenzake ambao ni walemavu wasiona na wanaoona wa shule ya Nyangao iliyopo Lindi Vijijini Mkoani humo,wakati wa hafla fupi ya kufuturisha na kutoa misaada mbalimbali inayoendeshwa na Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Ramadhan Care & Share wakati huu wa mfungo wa ...