TWITE AMVURUGA RAGE
Klabu ya Yanga imemtaka mwenyekiti wa Simba sports club kuthibitisha madai kuwa club hiyo inamtumia mtoto wa kigogo wa serikali ili kuwahujumu kauli ya Rage ilikuja siku moja baada ya Yanga kumsajili beki wa timu ya APR ya Rwanda Mbuyi Twite wa kushoto kwenye picha hapo juu ambaye pia Simba inadai kuingia naye mkataba.( mchezaji wa kimataifa Mbuyi Twite wa kushoto akiwa na mjumbe wa kamati ya utendaji wa Yanga ndugu Bin Kleb wa kulia )