MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATOA MSAADA.
Makamu wa rais pili wa Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi akimkabidhi daktari wa Alphoncina Mbinda katika mfawidhi wa Zahanati ya Kimara. Wanachama wa chama cha siasa cha CCM wakishangilia katika hafla hiyo.