KIKAO CHA ITSO

 Mh.Naibu waziri wa wizara ya sayansi,mawasiliano na teknologia January Yusuph Makamba  katika kikao cha ITSO international telecommunication satelite organization nchini uganda.
wa pili kutoka kulia ni naibu waziri mh. January Yusuph Makamba akiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Uganda alipoenda katika ziara ya kikazi nchini huma na wa pili kutoka kushoto ni balozi wa Tanzania nchini Uganda dk. Ladislaus Komba.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA