SIMBA DAY YADORORA
Mchezaji wa timu ya Simba akimiliki mpira mbele ya beki wa timu ya Nairobi City Stars katika mchezo wa kirafiki wa tamasha la Simba Day lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa Tamasha, hilo limeandaliwa na klabu ya Simba na hufanyika kila mwaka Agosti 8 na kushirikisha timu marafiki wa klabu hiyo huku wachezaji na viongozi mbalimbali wakipewa zawadi kwa mchango wao kwa klabu hiyo, Katika mchezo wa leo, hivi sasa mpira umekwisha na Simba imefungwa magoli 3-1 na timu ya Nairobi City Stars kutoka nchini Kenya. Benchi la ufundi la timu ya Nairobi City Stars kutoka nchini Kenya kama linavyoonekana. Benchi la ufundi la timu ya Simba kushoto ni kocha wa timu hiyo Bw. Milovan Cirkovic Kikosi cha timu ya Simba kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa paambano hilo kiliongozwa na Juma Kaseja( GK) Kikosi cha timu ya Nairobi City Stars kutoka Kenya kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa paambano hilo. Mchezaji wa timu ya ...