SIMBA DAY YADORORA


Mchezaji wa timu ya Simba akimiliki mpira mbele ya beki wa timu ya Nairobi City Stars katika mchezo wa kirafiki wa tamasha la Simba Day lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa Tamasha, hilo limeandaliwa na klabu ya Simba na hufanyika  kila mwaka Agosti 8 na kushirikisha timu marafiki wa klabu hiyo huku wachezaji na viongozi mbalimbali wakipewa zawadi kwa mchango wao kwa klabu hiyo, Katika mchezo wa leo, hivi sasa mpira umekwisha na Simba imefungwa magoli 3-1 na timu  ya Nairobi City Stars kutoka nchini Kenya.

 Benchi la ufundi la timu ya Nairobi  City Stars kutoka nchini Kenya kama linavyoonekana.
Benchi la ufundi la timu ya Simba kushoto ni kocha wa timu hiyo Bw. Milovan Cirkovic
Kikosi cha timu ya Simba kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa paambano hilo kiliongozwa na Juma Kaseja( GK)
Kikosi cha timu ya Nairobi City Stars kutoka Kenya kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa paambano hilo.
Mchezaji wa timu ya Simba kutoka nchini Uganda Emmanuel Okwi wa pili kutoka kulia akiongozana na wachezaji wenzake.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA