Happy Birthday Mhe. Spika Makinda
Bi Lina Kitosi akimlisha Mhe. Spika keki kwa niaba ya Wafanyakazi wa Bunge wakati wa Birthday yake ya 63 iliyofanyika jana mjini Dodoma, Fullshangweblog inakutakia maisha marefu Mh. Spika Anne makinda na mungu akupe hekina na Busara ili uweze kuliongoza vyema bunge letu kwa maendeleo ya Tanzania Ni Birthday ya 63 ya Mhe. Spika Anne Makinda, Mb. Keki ya Birthday Wapambe wakiwasilisha Keki Pokea Keki Mama Asanteni sana Spika Anne Makinda akipokea keki kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Bunge. Spka wa Bunge Mh. Anne makinda akimlisha keki Spika wa Bungbe Anne Makinda akikata keki tayari kwa kuila katika birthday yake jana. Mhe. Spika Anne Makinda, Mb.akikata keki katika birthday yake jana