
Na Ali Issa Maelezo Zanzíbar RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DKT . Ali Mohammed Shen kwa uwezo alio pewa c hini ya kifungu 9 (1) ((a) chash eria ya mafunzo ya Amali Zanzíbar namba 8 ya mwaka 2006 ame mteuwa DKT . Mohammed Hafidh khalifan kuwa mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzíbar . Kwamujibu wa barua ya tarehe 2 /7/2012 ilio tiwa saini Katibu wa Baraza la Mapinduzi na ka tibu mkuu kiongozi zanzibabr DKT Abdull Hamid Yahaya Mzee uteuzi huo umeaza tangu