Na Ali Issa Maelezo Zanzíbar
RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DKT. Ali Mohammed Shen kwa uwezo alio pewa chini ya kifungu 9 (1) ((a) chasheria ya mafunzo ya Amali Zanzíbar namba 8 ya mwaka 2006 amemteuwa DKT. Mohammed Hafidh khalifan kuwa mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzíbar .
Kwamujibu wa barua ya tarehe 2 /7/2012 ilio tiwa saini Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu mkuu kiongozi zanzibabr DKT Abdull Hamid Yahaya Mzee uteuzi huo umeaza tangu