Viongozi wa nchi ambazo ni Wajumbe wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wakusanyika Dar es salaam kwa mkutano

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) akimpokea Rais Armando Guebuza wa Msumbiji baada ya kuwasili leo Septemba 3, 2012 Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) akimwongoza Rais Armando Guebuza wa Msumbiji baada ya kuwasili leo Septemba 3, 2012 Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) akimpokea Rais Armando Guebuza wa Msumbiji baada ya kuwasili leo Septemba 3, 2012 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es ...