HUDUMA YA AIRTEL SUPA 5 YAZINDULIWA KWA KISHINDO MJINI MOROGORO

Sehemu ya umati wa wakazi wa morogoro uliofurika kwenye uwanja wa shule ya msingi uwanja wa ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Iringa, arusha na Mwanza. Mkazi wa Morogoro Sarafina Millak akikabidhiwa simu aina ya sumsung na Meneja Mauzo wa Airtel kanda ya Pwani,Aminata Keita mara baada ya kuibuka kinara wa kucheza ‘sebene’ la bendi ya Mashujaa,wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Jiunge na Supa5 iliyofanyika jana kwenye uwanja wa shule ya msingi-Uwanja wa ndege mkoani Morogoro. Airtel Jiunge na Supa 5 Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Ukitaka kujiunga na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO ‘WIKI’ AU WIKI UTUME KWENDA 15548. Wateja wa Airtel wakiwa na zawadi zao za simu aina ya Sumsung mara baada kununua moderm za Airtel zenye kasi ya 3.75G,shoto n...