Posts

Showing posts from July 17, 2012

YANGA YAAMKA

Image
Yanga ya jijini Dar Es Salaam nchini Tanzania siku ya leo imeamka tena kutoka katika kichapo cha mabao mawili kwa bila, sasa imeshinda mabao saba kwa moja zidi ya Was Salaam ya Sudani ya kusini katika uwanja mpya wa Taifa jijini Dar.

PINDA AZINDUA KAMISHENI MPYA YA TACAIDS JIJINI DODOMA

Image
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua Kamisheni Mpya ya Tume ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Ofisini kwake , Bungeni Mjini Dodoma Julai 17,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

TIGO YATOA MSAADA

Image
Waziri wa Elimu Dk Shukuru Kawambwa akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya Holiday Inn wakati alipopokea Hundi ya kiasi cha Shilingi milioni 26 kutoka kampuni ya Tigo kwa ajili ya kuchangia Madawati katika Shule za Msingi 5 kutoka wilaya mbili  Njombe na Makete zilizopo mkoani Iringa ambapo alisema kuwa shule zitakazo faidika ni Maendeleo watapata madawati 135, Umoja 196, Kumbila 200, Makonde 152 na Mbela 37. Aliongeza kuwa shule hizo zimechaguliwa kulingana  na kuwepo kwa haja kubwa zaidi ya Madawati  katika picha wa kwanza kushoto ni Kaimu Meneja mkuu  wa Tigo Bw, Andrew Hadgson watatu kulia ni Mkurugenzi wa taasisi ya kupekea michango ya kusaidia katika sekta ya Elimu Hassan Maajar Trust  Zena Tenga wane kwenda kulia ni Mwenyekiti wa kamati madawati Balozi Betha Somi wamwisho ni Dkt, Sinare Yusuf Sinare Mwenyekiti wa kamati wa ukusanyaji Fedha taasisi ya Hassan Maajar Trust Mkurugenzi wa taasisi ya kupokea michango y...

PICHA ZA MATUKIO AMBAPO MKOA WA MOROGORO UMEIBUKA KIDEDEA KWENYE MASHINDANO YA COPA COCA COLA

Image