ALIPOZIKWA MAREHEMU SAJUKI.
Rais Kikwete ni miongoni mwa waliohudhuria maziko ya Sajuki leo january 4 2013 Kisutu Dar es salaam. . . Hawa ni miongoni mwa waliokua wanasubiri kuupokea mwili, kwa mbali anaonekana Profesa Jay. . Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji na Mwimbaji Linex ni miogoni mwa wasanii waliohudhuria, wengine ni pamoja na Mwana Fa, Profesa J, Mzee Kitime na King Kikii. . Mwana Fa na Profesa J. King Kikii Mwana Fa na Profesa J. Msanii Z Anto akiswali juu ya kaburi la Marehemu Sajuki. Hapa ndipo alipozikwa Marehemu Sajuki. Zola D kwa mbali. Hili gazeti walilokua wanasoma kulikua na habari kuhusu kifo cha Sajuki. . . Mwili ulipokua unaingizwa.