Viongozi wa nchi ambazo ni Wajumbe wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wakusanyika Dar es salaam kwa mkutano
Mhe.
Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye
pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Troika) ya
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) akimpokea Rais
Armando Guebuza wa Msumbiji baada ya kuwasili leo Septemba 3, 2012

Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) akimwongoza
Rais Armando Guebuza wa Msumbiji baada ya kuwasili leo Septemba 3, 2012
Mhe.
Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye
pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Troika) ya
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) akimpokea Rais
Armando Guebuza wa Msumbiji baada ya kuwasili leo Septemba 3, 2012
katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam, tayari kwa mkutano wa Troika ya SADC unaotarajiwa kufanyika
kesho Septemba 4, 2012 katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency na
kuhudhuriwa na viongozi wa nchi wajumbe
wa Asasi hiyo ambao ni Msumbiji ambao ni Mwenyekiti wa sasa wa SADC,
Afrika Kusini aliyekuwa Mwenyekiti wa Asasi hiyo kabla ya Tanzania,
Namibia ambao ni Makamu Mwenyekiti wa Asasi hiyo ya Troika, pamoja na
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambao ni wageni waalikwa.
Mhe.
Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye
pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Troika) ya
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) akimuonesha
Rais Armando Guebuza wa Msumbiji mandhari ya Bandari ya Dar es salaam
kutoka katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, baada ya kuwasili
leo Septemba 3, 2012 tayari kwa mkutano wa Troika ya SADC unaotarajiwa
kufanyika kesho Septemba 4, 2012 hotelini hapo na kuhudhuriwa na
viongozi wa nchi wajumbe