AMERUDI...

Dr. Ulimboka Stephene amerudi nchini Tanzania Jana baada ya kupelekwa  hospitali moja huko Afrika ya kusini miezi miwili iliyopita kwa kipigo alichopata na watu wasio fahamika na kwa sababu hiyo ulinzi mkali umewekwa nyumbani kwa ulimboka eneo la ubungo huku vijana watatu walioonekana wamevaa nguo za kawaida walikuwa wanaranda randa maeneo ya nyumba ya doktari hyo kwa lengo la kuangalia watu wanapita na kutoka nyumbani humo. Dr. Ulimboka alitekwa na kufanyiwa vitendo hivyo vya kinyama wakati akiwa akiratibu mgomo madaktari uliokuwa ukiendelea na aliokotwa na msamaria mwema akiwa amefungwa mikono na miguu akiwa katika hali mbaya.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

CATHERINE MASUMBIGANA AWA REDD'S MISS CHANG'OMBE

SASA NI ROBO FAINALI