VODACOM YATOA MSAADA NA KUFUTURISHA WATOTO WALEMAVU
Mkuu
wa Kitengo cha Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule
akimkabidhi katoni ya chumvi Mtoto mwenye ulemavu wa kutokuona Husna
Rajabu, kwa niaba ya watoto wenzake ambao ni walemavu wasiona na
wanaoona wa shule ya Nyangao iliyopo Lindi Vijijini Mkoani
Lindi,wakati wa hafla fupi ya kufuturisha na kutoa misaada mbalimbali
inayoendeshwa na Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Ramadhan
Care & Share wakati huu wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan,alieshikilia mbuzi kushoto ni Meneja wa Vodacom Foundation
Bi.Grace Lyon.
Mkuu
wa Kitengo cha Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule
akimkabidhi ndoo ya mafuta ya kula John Swai kwa niaba ya watoto
wenzake ambao ni walemavu wasiona na wanaoona wa shule ya Nyangao
iliyopo Lindi Vijijini Mkoani humo,wakati wa hafla fupi ya kufuturisha
na kutoa misaada mbalimbali inayoendeshwa na Vodacom Foundation
kupitia kampeni yake ya Ramadhan Care & Share wakati huu wa mfungo
wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,alieshikilia mbuzi kushoto ni Meneja wa
Vodacom Foundation Bi.Grace Lyon.
Kaimu
Afisa elimu wa shule za msingi Wilaya ya Lindi Bi.Mnyangala Kaguta
akipokea msaada wa mbuzi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Vodacom
Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule kwa niaba ya watoto walemavu wasiona
na wanaoona wa shule ya Nyangao iliyopo Lindi Vijijini Mkoani
Lindi,wakati wa hafla fupi ya kufuturisha na kutoa misaada mbalimbali
inayoendeshwa na Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Ramadhan
Care & Share wakati huu wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Mkuu
wa Kitengo cha Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule
akimkabidhi mbuzi wawili Bi.Rafael Mohamed kwa niaba ya wakina mama
wenzake ambao ni walemavu wasioona wa kijiji cha Mnamba kata ya
Nyangao Mkoani Lindi,wakati wa hafla fupi ya kufuturisha na kutoa
misaada mbalimbali inayoendeshwa na Vodacom Foundation kupitia kampeni
yake ya Ramadhan Care & Share wakati huu wa mfungo wa Mwezi
Mtukufu wa Ramadhan,anaeshuhudia wapili toka kushoto ni Meneja wa
Vodacom Foundation Bi.Grace Lyon.
Meneja
wa Vodacom Foundation Bi.Grace Lyon akisalimiana na baadhi ya wakina
mama ambao ni walemavu wasioona wa kijiji cha Mnamba kata ya Nyangao
Mkoani Lindi,wakati wa hafla fupi ya kufuturisha na kutoa misaada
mbalimbali inayoendeshwa na Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya
Ramadhan Care & Share wakati huu wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan.

Meneja
Mahusiano ya umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu akiteta jambo
na baadhi ya watoto ambao ni walemavu wasioona wa shule ya msingi
Nyangao Mkoani Lindi,wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa shuleni hapo
kwa ajili ya kufuturisha na kutoa misaada mbalimbali inayoendeshwa na
Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Ramadhan Care & Share
wakati huu wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Baadhi
ya watoto ambao ni walemavu wasioona wakifuturu wakati wa hafla fupi
ya kufuturisha na kutoa misaada mbalimbali inayoendeshwa na Vodacom
Foundation kupitia kampeni yake ya Ramadhan Care & Share wakati huu
wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kama wqanavyoonekana kwenye picha hapo juu hivi ndivyo inavyotakiwa si tu kwa makampuni makubwa kama Vodacom bali hata kwa mtu binafsi ukifanya jambo kama hili na mungu pia anakuongezea baraka katika maisha yako basi tushirikiane katika kufanya mambo mema yanayo mpendeza Mwenyezi Mungu.