MUNGU IBARIKI KILIMANJARO STARS
Timu ya Taifa Tanzania bara inafahamika kama Kilimanjaro stars inashuka dimbani usiku huu kikosi hiko kikiongozwa na number one Goalkeeper Juma Kaseja wa klabu ya simba ya mitaa ya kariakoo jijini Dar es salaam,Tanzania. Kikosi hiko kinavaana na kikosi cha Uganda the cranes kikiongozwa na mshambuliaji machachari wa klabu ya simba Emmanuel Okwi.