FUTARI PEMBA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kushoto) akijumuika na Viongozi
na wananchi wa Mkoa wa kaskazini Pemba katika chakula cha Futari
aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu ya Wete pemba jana.{Pichana
Ramadhan Othman,Ikulu.}

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba,Dadi Faki Dadi,akitoa
shukurani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
ALhaj Dk.Ali Mohamed Shein,kwa niaba ya wananchi wa Mkoa wake baada ya
chakula cha Futari alkiyowaandalia katika viwanja vya Ikulu ya Wete
pemba jana. {Pichana Ramadhan Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto) pamoja na wananchi wa
Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti wa Zanzibar
Sheikh Saleh Omar Kabi,baada ya chakula cha Futari,huko Ikulu ya WEte
Pemba jana. {Pichana Ramadhan Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiagana na Viongozi na wananchi
wa Mkoa wa Kaskazini Pemba jana baada ya Chakula cha Futari
aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba. {Pichana
Ramadhan Othman,Ikulu.}
 Baadhi ya akina mama wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiitikia
Dua iliyoombwa baada ya chakula cha Futari katika Mwezi mtukufu wa
Ramadhan,iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,Ikulu ya Wete pemba jana.
{Pichana Ramadhan Othman,Ikulu.}
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein,(katikati) akiitikia dua na viongozi
akinamamawa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya Chakula cha Futari
iliyoandaliwa kwa wananchi ho huko Ikulu ya Wete Pemba jana.  {Pichana
Ramadhan Othman,Ikulu.}

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA