TAIFA STARS YALEJEA NYUMBANI
Wachezaji
wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwasili katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam jana usiku
wakitokea nchini Msumbuji waliposhiriki katika Mchezo wa mtoano wa
kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika CAF. Taifa Stars ilitolewa
katika michuano hiyo kw kufungwa kwa mikwaju ya penati na Msumbiji 8-7.
Wachezaji
wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa ndani ya basi mara
baada ya Kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere
jijini Dar es Salaam jana usiku wakitokea nchini Msumbuji waliposhiriki
katika Mchezo wa mtoano wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika
CAF. Taifa Stars ilitolewa katika michuano hiyo kw kufungwa kwa mikwaju
ya penati na Msumbiji 8-7.
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Kim Polsen akizungumza na Sunday Kayuni mara baada ya kuiwasili uwanjani hapo.