Posts

ZIARA YA MKUU WA MKOA WA RUKWA

Image
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akiongea kwa ukali wakati akionyeshwa ramani na Mpima wa Manispaa Selice Nzyungu ya eneo alilouziwa muwekezaji Ephatta Ministry na lile walilopewa wananchi wa kata ya Mollo katika Manispaa ya Sumbawanga. Mkuu huyo wa Mkoa amelazimika kutembelea eneo hilo baada ya kupewa taarifa za awali na Kamati aliyoiunda katika kufuatilia mgogoro unaoendelea kati ya muwekezaji na wananchi wanaolizunguka shamba hilo. Lengo kuu la ziara yake hiyo ya tarehe 02, Septemba 2012 ilikuwa ni kutembelea mashamba yakiwemo ya muwekezaji na wananchi pamoja na kuzungumza na wananchi na muwekezaji kwa kuchukua kero zao kwa ajili ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro huo.  Mkuu huyo wa Mkoa wa Rukwa akizungumza kwenye Mkutano na wananchi wa kata ya Molo ambapo pia wawakilishi wa muwekezaji walialikwa kuskiliza na kutoa kero zao mbele ya wananchi wa kata hiyo. Hata hivyo baada ya Mkuu huyo wa Mkoa kusikiliza kero hizo aliwaahidi wananchi pamoja n...

Waandishi Mbeya waeleka Tukukuyu katika Mazishi ya Mwangosi

Image
Timu ya wanahabari wa mkoani Mbeya kupitia Chama cha Wanadishi wa Habari Mkoa wa Mbeya  wakiwa safarini kuelekea Kijiji cha Busoka Tukuyu wilayani Rungwe mkoani humo Ambapo Mwili wa marehemu Daud Mwangosi aliyekuwa Mwakilishi wa Channel Ten anataraji kuzikwa baada ya kupoteza maisha kwa kushambuliwa na bomu wakati wa fujo baina ya Polisi na Wafuasio wa Chadema Iringa.  Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu, wa kwanza kushoto ndugu Joseph Mwaisango akiwa ndani ya Basina waandishi wengine  kuelekea katika Msiba na Mazishi muda huu.  Safari inaendelea Hapa Mambo yanaenda na safari inaendelea kama kawaida , ni asubuhi kabisa lakini tunajitahidi kuwaletea tukio zima Live moja kwa moja.  Safari inaendelea Hakika hakuna Mwandishi wa habari hata mmoja aliye na Furaha wengi wanaonekana wakiwa na uchungu, juu ya kifo cha Mwandishi mwenzao. SOURCE:Mbeya Yetu Blog

Waziri Terezya huvisa azungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar leo

Image
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani)  kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira wa Nchi za Afrika, Mkutano huu ni Kutathimini utekelezaji wa Makubaliano ya Mkutano wa 13 Uliofanyika Banako, Mali Mkutano Unafanyika Nchini Tanzania Mjini Arusha kulia Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Ningu

Viongozi wa nchi ambazo ni Wajumbe wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wakusanyika Dar es salaam kwa mkutano

Image
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) akimpokea  Rais Armando Guebuza wa Msumbiji baada ya kuwasili leo Septemba 3, 2012 Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) akimwongoza Rais Armando Guebuza wa Msumbiji baada ya kuwasili leo Septemba 3, 2012 Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) akimpokea  Rais Armando Guebuza wa Msumbiji baada ya kuwasili leo Septemba 3, 2012 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es ...

Cecafa-Tusker Cup at Serena Hotel Kampala

Image
Uganda Breweries Marketing Director Lemmy Mutahi  (C ) handing over a dammy cheque to Cecafa General Secretary Nicholas Musonye. Extreem right is FUFA Vice President Livingstone Kyambadde in Kampala on Tuesday. Cecafa General Secretary Nicholas Musonye receives a this year’s Cecafa-Tusker cup from EABL (U) Marketing Director Lemmy Mutahi at Serena Hotel Kampala on Tuesday. On the right is FUFA Vice President Livingstone Kyambadde. Cecafa General Secretary Nicholas Musonye chats with the Cecafa Founder Member Kezekia Ssegwanga Musisi before the official launch of this year’s Cecafa-Tusjker Cup 2012 at serena Hotel Kampala Tuesday

Launch of the Cecafa-Tusker Cup 2012 in Uganda

Image
Cecafa General Secretary Nicholas Musonye receives a this year’s Cecafa-Tusker cup from EABL (U) Marketing Director Lemmy Mutahi at Serena Hotel Kampala on Tuesday. On the right is FUFA Vice President Livingstone Kyambadde. Tusker Lager, one of the region’s major sports sponsors have this Tuesday announced a sponsorship package of USD 450,000 (About UGX 1.125.000.000) towards this year’s CECAFA –Tusker Cup to be hosted in Kampala. The Council of East and Central Afric a Football Association (CECAFA) has also fixed November 24 as the kick off date at Mandela National Stadium Namboole. The tournament will run through December 8. Cecafa General Secretary Nicholas Musonye who flew to Kampala on Monday attended the well organized event. Unpacking the sponsorship during the Break Fast meeting at Serena Hotel in Kampala, Lemmy Mutahi the EABL (U) Marketing Director said the decision was taken with an ultimate aim of catapulting East...

PICHA ZA INTERVIEW YA MILLARD AYO NA CMB PREZZO ON CLOUDS TV.

Image
Ni interview ambayo itaonekana Clouds TV, hii ni wakati Prezzo alipofika Moshi kwa ajili ya kufanya show ya Serengeti Fiesta. Baadhi ya aliyoyaongea ni pamoja na kwenda Nigeria kuwaomba msamaha Wanigeria kuhusu Goldie waliekua pamoja kwenye Big Brother. . . .