Waandishi Mbeya waeleka Tukukuyu katika Mazishi ya Mwangosi
Timu
ya wanahabari wa mkoani Mbeya kupitia Chama cha Wanadishi wa Habari
Mkoa wa Mbeya wakiwa safarini kuelekea Kijiji cha Busoka Tukuyu
wilayani Rungwe mkoani humo Ambapo Mwili wa marehemu Daud Mwangosi
aliyekuwa Mwakilishi wa Channel Ten anataraji kuzikwa baada ya kupoteza
maisha kwa kushambuliwa na bomu wakati wa fujo baina ya Polisi na
Wafuasio wa Chadema Iringa.
Mwandishi
Mkuu wa Mbeya yetu, wa kwanza kushoto ndugu Joseph Mwaisango akiwa
ndani ya Basina waandishi wengine kuelekea katika Msiba na Mazishi muda
huu.
Safari inaendelea
Hakika
hakuna Mwandishi wa habari hata mmoja aliye na Furaha wengi wanaonekana
wakiwa na uchungu, juu ya kifo cha Mwandishi mwenzao. SOURCE:Mbeya Yetu
Blog