Posts

BOB MAKANI AFARIKI DUNIA

Image

MISS KIGAMBONI KUFUNDWA KESHO

Image
KAMATI ya urembo ya Miss Tanzania inatarajia kesho kukutana na warembo wanaowania taji la kitongoji cha Kigamboni 'Miss Kigamboni 2012' kwa ajili ya kuwapa 'darasa' na kufahamu taratibu na malengo ya shindano hilo. Shindano la urembo la kitongoji cha Kigamboni linatarajiwa kufanyika Ijumaa ya Juni 15 kwenye Ukumbi wa Navy Beach kuanzia saa 1:00 usiku. Akizungumza jana, Mratibu wa shindano hilo, Somoe Ng'itu, alisema kuwa warembo hao pia watapata nafasi ya kuuliza maswali mbalimbali kuhusiana na sanaa hiyo ambayo mshindi wake kitaifa hupata nafasi ya kuiwakilisha nchi katika mashindano ya dunia. Alisema kuwa maandalizi ya shindano hilo yanaendelea vizuri na mwaka huu kamati ya Miss Kigamboni imeamua kutoa sehemu ya fedha zitakazopatikana kwa lengo la kuipa heshima ya shule hiyo ambayo ni moja ya sehemu zilizotoa washiriki wa kinyang'anyiro hicho na wajumbe wa kamati ya maandalizi. Alisema kuwa wanawaomba wakazi wa Kigamboni na wengine kutoka sehemu...

MAONYESHO YA TANZANIA HOMES EXPO YALIVYO FANYIKA JANA MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM

Image
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Yusuph Mwenda (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa maonyesho ya wadau wa kukopesha nyumba (Tanzania Homes Expo) kupitia benki mbalimbali nchini ambapo wananchi wanaonyeshwa urahisi wa kuweza kukopa nyumba maonyesho hayo yamefanyika leo katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam Kushoto ni Mkurugenzi wa Uandaaji wa maonyesho hayo Tanzania Homes Expo Bw. Zenno Ngowi. (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE) Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Yusuph Mwenda, akipewa maelezo katika banda la Benki ya Akiba Commercial wakati akitembelea Kampuni zilizoshiriki katika maonyesho hayo.  Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Yusuph Mwenda, akikagua baadhi ya makabrasha katika banda la Shirika la nyumba Tanzania NHC kushoto ni Afisa masoko wa Shirika hilo na mmiliki wa blogu ya mitindo ya Misspopular Mariam Iddi na kulia ni Afisa mauzo mwandamizi wa shirika la nyumba Tanzania (NHC) Bw. Emanuel Lymo. M...

NBC WADHAMINI MKUTANO WA CRB

Image
Meneja Mahusiano  wa NBC, Danstan Kolimba akitoa mada kuhusu ni jinsi gani sekta ya ujenzi inavyoweza kunufaika na huduma za benki hiyo katika Mkutano wa Mwaka wa Bodi ya Makandarasi (CRB) uliofanyika jijini Dar es Salaam jana.  NBC ilidhamini mkutano huo. Meneja Mahusiano  wa NBC, Danstan Kolimba (kulia) pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Bodi ya Makandarasi (CRB) uliofanyika jijini Dar es Salaam jana.  NBC ilidhamini mkutano huo. Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Bodi ya Makandarazi wakimsikiliza Meneja Mahusiano wa NBC, Danstan Kolimba (hayupo pichani) wakati akitoa mada yake kuhusu jinsi sekta ya ujenzi inavyoweza kunufaika na huduma zitolewazo na NBC  wakati wa mkutano huo uliodhaminiwa na NBC jijini Dar es Salaam jana.

HUZUNI NCHINI KENYA

Image
 Waziri wa Usalama wa ndani wa Kenya Profesa George Saitoti amefariki dunia kwa ajali ya Helikopta iliyotokea leo asubuhi katika eneo la Ngong Katika milima ya Magharibi mwa Nairobi nchini humo wakati akiwa katika safari ya kikazi akielekea Kisumu, Saitoti amefariki akiwa na Naibu Waziri wake Orwa Ojode. Mbunge wa Kenya Najib Balala amethibitisha kutokea kwa kifo hicho katika mtandao wake wa Twitter, Serikali ya Kenya bado haijasema chochote kuhusu sababu za ajali hiyo iliyopoteza mawaziri hao pamoja na watu wengine wanne jumla yao wakiwa Sita, Profesa Saitoti alikuwa akitarajia kugombea urais katika uchaguzi wa Rais utakaofanyika baadae mwaka huu

CATHERINE MASUMBIGANA AWA REDD'S MISS CHANG'OMBE

Image
Redds Miss Chang’ombe 2012, Catherine Masumbigana 21, (katikati) akipunga mkono mara baada ya kusimikwa rasmi kuwa mshindi wa taji hilo. Kulia ni mmshindi wa pili, Jesca Haule (18) na Mshindi wa tatu Zulfa Bundala. Masumbigana aliwashinda warembo wengine 13 katika shindano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Quality Center jijini Dar es Salaam Juni 10, 2012.   Tano bora ya Miss Chang’ombe 2012 ambao wote wamepata tiketi ya kushiriki shindano la Miss Temeke 2012 wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka Kushoto ni Zulfa Bundala (21), Jesca Haule (18), Catherine Masumbigana (21), Miriam Nkisigwa (20) na Flora Kazungu.  Warembo wakicheza show maalum ya ufunguzi  Vazi la ufukwenu, Kutoka kulia ni Restituta Faustiney, Wensley Mabula na Clara Diu.  Warembo Flora Mayasa (kulia) Catherine Masumbigana (katikati) na Elizabeth Mushi wakiwinda point na vazi la ufukweni. Mkali wa Bongo Fleva Nassib Abdul 'Diamond' na vija...

SGR SECURES 47M-FUNDING

Image
THREE companies operating in Namtumbo District, Ruvuma Region that include Mantra Tanzania, Game Frontiers Tanzania and Tanganyika Wildlife Safari Corporation Limited under the ‘Friends of Mbarangandu’ umbrella have donated forty five million shillings to help support various Corporate Social Responsibility (CSR) programs in seven villages within Mbaranga’ndu Wildlife Management Area (WMA) in the Selous Game Reserve. The funds will among other projects finance education, water, bee keeping and tightening of security in the Selous Game reserve in a bid to intensify fight against poaching. Speaking during the handover ceremony held at the weekend, Friends of Mbarangandu Chairperson Moshen Abdallah Shein said they have already given up to 300m/- to support various community development projects in the last few years. “Our support is to ensure that communities where we operate get access to basic services.   We realize the importance of having good investor-community relat...