KAMATI YAUNDWA UJENZI WA JENGO LA YANGA


Ndugu Ridhiwani Kikwete, mwenyekiti wa kamati hiyo ya ujenzi wa majengo ya Yanga lililopo mtaa wa Mafia na Nyamwezi ameunda kamati ya wajumbe tisa(9) watakaosimamia ujenzi wa majengo hayo huko Zanzibar.

  Huku wajumbe wengine ni jaji mstaafu John Mkwawa, Naibu waziri wa wizara ya Miundombinu ya serikali ya mapinduzi Zanzibar,Allan Magoma,Charles Palapala,Izack Chanje na wakili Mavalle Msemo.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

CATHERINE MASUMBIGANA AWA REDD'S MISS CHANG'OMBE

HOTUBA YA MHESHIMIWA PEREIRA AME SILIMA (MB), MWENYEKITI WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI (T)