MATUKIO YA PICHA KATIKA KILELE CHA MAPINDUZI UWANJA WA AMANI MJINI ZANZIBAR
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikagua gwaride la Vikosi
vya ulinzi katika kilele cha sherehe za kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja.{Picha na Ramadhan Othman,IKULU.]
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wakati alipomaliza
kukagua gwaride la Vikosi vya ulinzi katika kilele cha sherehe za
kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo
katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.{Picha na Ramadhan
Othman,IKULU.]
sherehe za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zabzibar.{Picha na
Ramadhan Othman,IKULU.]