IKULU:Rais Jakaya Kikwete Aogoza Mazishi ya Msanii wa Bongo Movie Juma Kilowoko (Sajuki)makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam Leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa
mazishi ya msanii Sajuki leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es
salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baba mzazi wa marehemu
Sajuki wakati wa mazishi ya msanii huyo leo katika makaburi ya Kisutu
jijini Dar es salaam kulia ni Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa.Picha na IKULU