WARUDISHWA RUMANDE
VIONGOZI WA UAMSHO WARUDISHWA TENA RUMANDE
Baadhi ya viongozi
wa Jumuiya ya UAMSHO Sheikh Farid Hadi Ahmed kushoto akiwa na wenzake
sita walioletwa Mahakama kuu Zanzibar Vuga wakiwa hawana ndevu na
kufunguliwa mashtaka manne mapya mahakamani hapo yakiwemo kuharibu mali
za watu zenye thamani ya Shl.Milioni 50 na kufanya vurugu za makusudi
zakuhatarisha amani katika nchi…Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar
Baadhi
ya Askari wa kutuliza fujo wakiwa Mahakama kuu Zanzibar Vuga kwa lengo
la kutuliza amani Mahakamani hapo.. Picha na MakameMshenga-Maelezo
Zanzibar
Baadhi
ya Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO wakiwa wanatoka katika Mahakama Kuu ya
Zanzibar Vuga baada ya kufunguliwa mashtaka manne mapya..Picha na
Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar
Mawakili
wa Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Abdallah Juma kushoto na Salim Tawfik
wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu kujitoa kwao siku ya leo
katika kesi hiyo kutokana na usmbufu wanaofanyiwa wateja wao wa
kuhawangaishwa na kukosa kupelekwa Mahakama ya Kwerekwe kwa muda
muafa..Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar