UNIDO YAAHIDI KUONGEZA USHIRIKIANO NA TANZANIA KATIKA KUKUZA MAENDELEO YA VIWANDA.
Mwakilishi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda (UNIDO)
nchini Tanzania Bw. Emmanuel Kalenzi akifafanua shughuli za Shirika hilo
na mafanikio yake hapa nchini ambapo mpaka sasa limeshachagua maeneo
yatakayofadhiliwa chini ya ‘Global Environment Facility- GRF’ kwa miradi
kadhaa katika mikoa ya Morogoro, Njombe na Rukwa.