Rais Kikwete alishiriki Swala ya IDDI kijijini Msoga leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Iddi katika Masjid Rajab kijijini kwake Msoga-Chalinze leo Asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono wa Iddi na baadhi ya waumini walishiriki swala ya Iddi katika Masjid Rajab Kijijini kwake Msoga, kata ya Chalinze,Wilayani Bagamoyo leo asubuh

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

CATHERINE MASUMBIGANA AWA REDD'S MISS CHANG'OMBE

SASA NI ROBO FAINALI