RAIS KIKWETE AANZA ZIARA YA MKOA WA KILIMANJARO HAPO JANA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali na wananchi
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro jana
Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro
akianzia Wilaya ya Same.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Agrey Marealemmoja wa
viongozi wa chama cha mapinduzi CCM mkoani Kilimanjaro wakati
alipolakiwa na viongozi mbalimbali na wananchi baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro jana Oktoba 28, 2012 tayari
kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Rais Jakaya Kikwete akiangalia vikundi vya ngoma wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA jioni ya jana.
Viongozi
mbalimbali wa Serikali na vyama vya Siasa wakimlaki Rais Jakaya Kikwete
wakati alipowasili mkoani humo kwa ziara ya kikazi.
Rais
jakaya Kikwete akisalimiana na wananchi mbalimbali waliofika kumlaki
kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa KIA Rais Jakaya ameanza ziara ya
kikazi mkoani humo jana.