MKE WA WAZIRI MKUU ATUNUKIWA SHAHADA NA MALECELA
Mkuu
wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, John Samwel Malecela akimtunuku
Shahada ya Uongozi wa Biashara, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda
katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika kwenye viwanja vya
Chuo hicho Kibaha Oktoba 27, 2012.Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akipokea zawadi ya ua kutoka wadogo
zake Salma Rehani (kulia), Mkaroga Rehani (wapili kulia) na Mabe Rehani
baada ya kutunukiwa Shahada ya Uongozi wa Biashara katika mahafali ya
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye vianja vya Chuo
hicho, Kibaha Oktoba 27, 2012 ( Picha Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa na baadhiimu wa mahafali hayo yaliyofanyika jana Kibaha mkoani Pwani