MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA NANE WA JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) MJINI DODOMA JANA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa akifungua mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya
Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo Oktoba 20, 2012 katika ukumbi wa
Chuo cha Mipango, mjini Dodoma, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa
UWT Taifa. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwasili kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma leo Oktoba 20,
2012 kwa ajili ya kufungua mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Wanawake
Tanzania (UWT) uliofanyika sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT
Taifa. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Baadhi
ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT waliohudhuria mkutano huo leo katika
ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma. Picha na OMR
Makamu
wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania, (UWT) Taifa,
anayemaliza muda wake, Sophia Simba, wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu
wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo Oktoba
20, 2012, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa. Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais
Makamu
wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania, (UWT) Taifa, anayemaliza
muda wake, Sophia Simba, (katikati) na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,
Pius Msekwa wakifurahia jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa nane
wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo Oktoba 20, 2012,
sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa. Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais
Baadhi
ya wake wa Viongozi, wakiwa ukumbini humo wakati wa ufunguzi huo wa
mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika
leo Oktoba 20, 2012, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT waliohudhuria mkutano huo leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.