Rais Kikwete awaaga mabalozi wa Iran na Cuba



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Cuba  nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Ernesto Gomes Dias leo Septemba 28,  2012 Ikulu jijini DAr es salaam Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Iran nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Mohsen Movahhedi Ghomi leo Septemba 28, 2012  Ikulu Dar es salaam

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

CATHERINE MASUMBIGANA AWA REDD'S MISS CHANG'OMBE

SASA NI ROBO FAINALI