PINDA ATEMBELEA MAONESHO YA NANENANE ARUSHA


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua mazao ya mbogamboga wakati alipotembelea maonesho ya wakulima  Nanenane kwenye uwanja vya Themi, Arusha Agust  8, 2012. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)


 Mkuu Mizengo Pinda akifurahia mzinga wa nyuki aliozawadiwa na TASO katika maonesho ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa Themi Arusha Agust 8,  2012.  Kulia ni Naibu Waziri wa Kiolimo na Chakula na Ushirika, Adam Malima (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

CATHERINE MASUMBIGANA AWA REDD'S MISS CHANG'OMBE

SASA NI ROBO FAINALI