MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AZINDUA SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO HUKO NAKASANGWE MADALE JIJINI DAR ES SALAAM
Mwenyekiti
wa Kia motors, Cho
Kwi Hyun akikabidhi Kuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadik mfano
wa ufunguo wa moja ya magari manne ambayo kampuni hiyo imetoa kwa shule
ya Maendeleo iliyopo Nakasangwe Madale wakati wa hafla ya uzinduzi wa
shule hiyo leo kulia ni Mkurugenzi Shirika (GNI), Yang Jin OK na kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali Mtaa Madale Alex Mbuya
Mkuu wa Mkoa
wa Dar es salaam Said Meck Sadik akihutubia wananchi wakati wa uzinduzi
wa shule ya Maendeleo iliyoko Nakasangwe Madale jijini Dar es salaam
iliyojengwa kwa msaada wa kampuni ya KIA na HYUNDAI za Korea kupitia
shirika la
Vijana
mbalimbali kutoka Shirika la GNI nchini Korea walioshiriki kujitolea
kujenga shule ya Sekondari Maendeleo Nakasangwe huko Madale wakiwa
katika hafla ya uzinduzi leo