Miss Eastern Zone 2012 kumsaka Balozi wa Usambara Safari Lodge 2012


Warembo watakao wania taji la REDD's Miss Kanda ya Mashariki 2012 watapanda jukwaani Agost 30, 2012 katika Ukumbu wa Usambara Safari Lodge kumsaka Balozi wa Usambara. Wahi tiketi yako sasa ambapo Miss Tanzania 2010, Genevieve Mpangala ataongoza mashambulizi kwa kulipamba jukwaa. Ukikosa ni dhambi.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA