MCHAKATO WA SERENGETI FIESTA 2012 WAENDELEA KUPAMBA MOTO NDANI YA JIJI LA TANGA
Mchakato wa Serengeti Fiesta
2012 ndani ya Tanga ukiendelea ndani ya mitaa kadhaa ya jiji hili.
Mtangazaji wa Clouds Fm Adamu Mchomvu, hapa vijana wa kazi kutoka Clouds
Fm wakiongea na wakazi wa eneo la Magaoni, Taili Tatu Kata ya Mabawa.
Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika tarehe 26.8.2012 katika uwanja wa
Mkwakwani.
Mtangazaji wa Clouds Fm Adamu
Mchomvu, akiyaendeleza mastori ndani ya kitaa cha Taili tatu eneo la
Magaoni, Kata ya Mabawa, Tanga.
Mwanadada Loveness Love akiwa na Gossip Cop Tz, Sudi Brown.
Vijana walijitahidi kuonyesha umahili wao wa kuchana michano.
Clouds Tv nayo haikukosa.
Mazungumzo ya mtaani yakiendelea.
Mtangazaji wa Clouds Fm Adamu Mchomvu na Mwanadada Loveness Love.
Hapa jamaa alikuwa akitiririka machache ndani ya Clouds Fm/Clouds TV.
Producer wa Home record ya Tanga nae akimwaga maneno yake juu ya tamasha fiesta.
Show Love ikiendelea.
Show love ndani ya eneo la Magaoni, Taili Tatu Kata ya Mabawa.
Aha! Mzee wa Habari na Matukio (Kajunason Blog) akiwa na Adamu Mchomvu wakiwakilisha na chama la watoto wa Tanga