 |
Mwigulu Mchemba (kulia) wa jimbo la Iramba Mashariki akibadishana hoja na Mbunge wa Namtumbo Vita Kawawa wote ni wabunge wa CCM Bungeni Dodoma
|
 |
Maafisa wa Bunge wakiwa makini kufuatilia hoja mbalimbali za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa Fedha 2012-2013. |
Mbunge wa Kinondoni Iddi Azan (kulia) na Mbunge wa Muheza Hebert Mtangi ( kushoto ) wakielekea ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Naibu Spika Job Ndugai (kushoto) akimsikilza Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela katika viwanja vya Bunge –Dodoma leo.