Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande atinga clouds Media Group
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumza na
Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande
ofisini kwake mapema leo mjengoni hapo,ambapo baadaye pia alifanya
ziara fupi na kujionea vitengo mbalimbali vya kampuni hiyo namna
ambavyo vinafanya kazi.
Mazungumzo yakiendelea ya hapa na pale.
Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande akisikiliza jambo kwa umakini.
Mkurugenzi
wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiagana na wageni wake mara baada
ya kufanya mazungumzo nao mapema leo,kwenye ofisi za kampuni
hiyo,Mikocheni jijini Dar.
Mkurugenzi
wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiagana na mgeni wake Kiongozi
Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande.