|
Mbunge
wa jimbo la Bumbuli Mhe. January Makamba akiongea na wakazi kutoka
wilaya ya Lushoto jimbo la Bumbuli katika ukumbi wa Karimjee jijini
Dar es salaam leo mkutano huo ulikuwa unajadili maendeleo ya jimbo la
Bumbuli na kutambulisha shirika la maendeleo la Bumbuli, January
Makamba amesema katika kipindi cha mwaka 2011-2012 kiwango cha elimu ya
wilaya hiyo imekuwa chini na kusababisha vijana wengi katika mkoa wa
Tanga kuwa na sifa ya kuuza chipsi na kubeba mizigo badala ya kufanya
kazi kwenye makampuni. |
|
Mkurugenzi
wa shirika la Bumbuli Bw. Najim Msenga (kushoto), mwenyekiti mteule
wilaya ya Bumbuli Bw. Amiri Sheiza (kulia)katibu wa CCM wilaya ya
Lushoto Bw. Loth Ole Lemeirut (katikati)wakijadiliana jambo mara baada
ya kumalizika kwa mkutano huo jana |
Wakazi kutoka jimbo la bumbuli wakiwa katika mkutano huo wa kujadili maendeleo ya wilaya ya Bumbuli
Kikundi cha ngoma kijulikanacho Mount Usambara Voice kikitoa burudani katika mkutano huo
Katibu
wa CCM wilaya ya Lushoto Bw. Loth Ole Lemeirut (kushoto)na mwanakamati
wa shirika la Bumbuli Bw. Naaman Shauri wakifuatilia kwa umakini mada
iliokuwa ikendelea katika mkutato huo jana