FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI YA UONGOZI CCM TAIFA ZAANZA KURUDISHWA


Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa Bi, Halima Mohamed Mamuya  kulia akirudisha fomu ya kuomba kugombea nafasi hiyo kwa Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni  UWT Makao Makuu Bi Riziki Kingwande Dar es salaam leo.
 
Pia leo meya wa wilaya ya Ilala Mh.Jerry Silaa naye amechukua fomu ya kuwania nafasi ya mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya UVCCM.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

CATHERINE MASUMBIGANA AWA REDD'S MISS CHANG'OMBE

SASA NI ROBO FAINALI