WATEJA WA AIRTEL SABASABA WAENDELEA KUJIZOLEA ZAWADI VIWANJA VYA SABA SABA



Airtel ilivyojipanga na zawadi kwaajili ya wateja wake wanaonunua bidhaa mbali mbali na kulipia kwa njia ya Airtel money. ukinunua bidhaa katikakijiji cha Airtel, banda la Windhoek, hupata kuponi ambazo baadae huzungushwa na huibuka washindi wa kati ya zawadi hizo zikiwemo simu za mkononi aina ya sumsung, Modem yenye kasi ya 3.75G pamoja na shilingi 2,000 kwa jumla ya wateja 60 kwa siku
Katika picha juu niKushoto ni meneja uhusiano wa Airtel Tanzania akifuatilia watoa huduma wa banda la Windhoek wanavyoelekezena jinsi ya kununua bidhaa katika banda lao kwa kutumia huduma ya Airtel Money

Hizi ni bidhaa za Airtel na Windhoek ambazo ni zawadi za washindi  zikiwa zimepangwa maalum kwa ajili ya wateja kujishindia
MC na mtangazaji wa ofa katika banda la Windhoek akitangaza namba ya mshindi wa simu katika kuponi wakati wa Bahati nasibu ya Airtel ilipochezeshwa  jana maalum kwa wateja wake wanaonunua bidhaa mbalimbali katika maonyesho ya 36 ya biashara kwenye viwanja vya Sabasaba Temeke

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA