VODACOM NDANI YA SABA SABA
Mteja aliejitokeza katika maonesho ya sabasaba akipata maelezo ya namna ya kutumia simu ya ZTE 502 pia iliyokuwa na muda wa maongezi wa shilingi elf 6000 na kuuzwa kwa shilingi elfu 13 ikiwa ni ofa maalum katika maonesho hayo ya sabasaba.
Wakala wa Vodacom M PESA akitoa huduma ya M- PESA kwa mteja alietembelea maonesho ya sabasaba jijini Dar es. Kampuni ya Vodacom Inashiriki katika maonesho hayo kama mdhamini rasmi wa mawasiliano.