NMB YACHANGIA MILIONI 1O/- KWA WAATHIRIKA WA AJALI YA MV SKAGIT
Mkurugenzi Mkuu wa Kamati ya
Maafa Zanzibar, Bw. Ali Juma Hamad (Kushoto), akipokea sehemu ya msaada
kutoka kwa Meneja wa Tawi wa Benki ya NMB Zanzibar, Bw. Mluku Abdallah
Maggid, kisiwani Unguja .Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni
10/- ni maalum kufuatia maafa ya ajali ya MV Skagit iliyotokea Julai
18, mwaka huu.
Maafisa wa Benki ya NMB tawi la Zanzibar wakibeba
vifaa