BWA. VICENT LYIMO WA KIBOSHO AKABIDHIWA ZAWADI YAKE YA PIKIPIKI KUTOKA SERENGETI
Meneja wa bia ya Serengeti Bw. Allan Chojo kushoto akiongea na waandishi wa habari na wakazi wa kibosho mkoani Kilimanjaro wakati wa kukabidhi zawadi ya pikipiki mpya kwa mshindi wa zawadi hiyo Bw Vicent Lyimo kulia, aliyejishindia kupitia promosheni ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO na inayoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti (SBL). Katikati ni mke wa Bw Vicent Lyimo Bi. Jesca Vicent Lymo. Picha 02 huku Bw. Vicent Lyimo na mkewe wakiwa juu ya pikipiki yao baada ya kukabidhiwa na Bw.Allan Chonjo